Video hizo ni kuhusu nini?
Kwa kuangalia na kuelewa video hizi utapata uelewa zaidi wa kile kilicho ndani ya Biblia. Kuna video 55, zinazoangazia wahusika na matukio muhimu ya Biblia, lakini zikionyesha mada ya pamoja kila wakati. Kusudi ni kwamba uziangalie kwa mpangilio, ili upate wazo bora la kile kilicho ndani, ukirudia kuangalia kila video inapohitajika.
Mungu na Yesu wakueleke katika kujifunza kwako.