Skip to content

Tanzania Kristadelfia

Karibu Tanzania Kristadelfia

Jua yote kuhusu Kristadelfia ni nani, wanaamini nini na jinsi ya kuwasiliana nasi kupitia tovuti hii, kwa kutumia viungo vilivyo hapa chin:

bibleeastafrica.com

[email protected] 

Tunalenga kufundisha ujumbe wa kweli wa Injili ya Habari Njema, inayofundishwa kotekote katika Biblia, na tunataka kushiriki nawe tumaini zuri ajabu la wakati ujao.

Video kwenye tovuti hii, zinazopatikana kupitia kichupo cha “Kujifunza Biblia,” zitakupa uelewa wa kile tunachoamini Biblia inafundisha na jinsi sote tunavyoweza kujiandaa kwa ufalme unaokuja wa Mungu.